Sehemu maalum kwa ajili ya Red Carpet kwa VIP
Ni matayarisho ya aina yake chini ya vikosi vilivyojipanga kila idara, dakika chache kabla ya tukio la kihistoria la utoaji tuzo za EATV katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.
Haya ni baadhi ya maeneo mbalimbali kuzunguka ukimbi huo, yanayoonesha kila mtu kujipanga na kila kitu kuwa pahala pake.