Ni vizuri watu wakatambua dhamira ya 4a9 ni vizuri watu wakaelewa kwa nini tulipeleka 4a9 katika matatizo mengine.
Si kweli kuwa tunazungumzia sana ukimwi kuliko maradhi mengine na baadhi ya watu wanaelewa hilo.
Naomba niseme tena dhamira yetu ya kutafiti dawa ya 4a9 ni kuwalenga watu wenye upungufu wa kinga mwilini lakini vilevile watu wenye virusi wanaosababisha ukimwi.
Tuliamua kwa dhati kabisa kuwapa watu wenye matatizo mbalimbali,
Mtu anasumbuliwa na matatizo ya moyo unompelekea sehemu anashindwa kupata usingizi inafikia wakati anatumia vidonge vya usingizi na huku akitumia vidonge vya presha lakini presha inaendelea kuwa juu.
Matatizo kama haya 4a9 imekewa kutatua matatizo kama hayo.
Hawa wamenufaika si watu wa HIV na haya tumeyapata wakati tunapokea mrejesho wa mtu alietumia 4a9 kabla na baada.
Kuna baadhi ya watu wamekata tamaa au wamechoshwa au wamepoteza pesa nyingi bila mafanikio kutokana na kusikia na madaktari kwenye redio au tv na wakaenda kueleza shida zao na wakakosa mafanikio na kuna baadhi wamekata tamaa kwa sababu ya kipato.
Haya tumeyapokea wakati tunapokea maoni kutoka kwa watu tuliowahudumia.
Sababu ni nyingi lakini sisi watu wa 4a9 tunakila sababu ya kumshukuru mungu kwa kile tulichokifanya,nina imani ujio wa maabara yetu ya kisasa na vifaa vya kisasa ambavyo vinakubalika na hao wanaojiona wamesoma kuliko wengine itakuwa ni mkombozi mkubwa kwa ndugu zangu wa Tanzania waliochoka kumeza dawa kila siku.
Takwimu ya ukimwi ni kubwa sana Tanzania na inazidi kuongezeka kila siku asilimia 50 wanapata matibabu na asilimia nyingine haina matibabu,huu ni ukweli hauhitaji tochi,huu ni usemi wa wazanzibari.
Baadhi ya watu waliokata tamaa waliposikia ujio wa 4a9 walifarijika kwa sababu walikata tamaa kutokana na dawa zinazoletwa ambazo zinaonekana ni za kisayansi lakini wamekata tamaa kwa sababu haziwezi kuwasaidia chochote.
Kwa mfano:
Mtu alikuwa na maji kwenye moyo na akawa kwenye hali ngumu,wataalam wa kimagharibi waliona hakuna njia ila kutoboa kwenye mgongo ili kuyanyonya maji hayo,lakini nilivopewa taarifa na nikawashauri, mama huyu akatumia 4a9 na akatoja kwenye chumba mahututi na hadi leo ukienda kwenye youtube utaona amelima shamba heka 5 na amemzawadia msigwa heka 1 na hadi leo ana miaka 5 na afya yake imeimarika.
4a9 imefanya kazi vizuri kwenye matatizo ya kansa ya utumbo hili limethibitishwa na wataalam wa Zambia yani ushahidi huo uko wazi,si kutibu tu michubuko kwenye utumbo lakini hata wale wenye tatizo la fangasi kwenye taulo kubwa 4a9 imeweza kukausha fangasi zile na utumbo kufanya kazi vizuri.
Haya yamedhihirika kwa watu waliotumia 4a9 na ukienda youtube utaona watanzania wengi walivonufaika.
Lakini naomba niulize tokea tupate uhuru katika taifa hili ni dawa ipi ya maleria au dawa ipi ya sikari au moyo au presha baada ya kutumia dawa hizo walifatwa kuulizwa kuhusu dawa hizo? Na watanzani walitoa maoni kuhusu dawa hizo?
Nafikiri tutakuwa na jawabu kwa watu wengi waliokata tamaa kama tutaweza kutatua tatizo la vipimo,hii ndo changamoto kubwa kwetu na kwa wagonjwa.
4a9 imetatua matatizo mengi ya watu wenye kuwakwa moto kwenye miguu,kuishiwa nguvu kwenye miguu,pumzi kukata ghafla,hawa wamenufaika kupitia 4a9.
Ni muhimu sana kwa watu wasiokuwa wavivu wa kufikiri kutumia mali za asili zetu zitutoe hapa tulipo kuhusu maswala ya afya ili nasi tuweze kutatua matatizo yetu kupitia mali zetu au miti yetu ili kukabiliana na tatizo la ukosefu wa dawa katika taifa letu na hatimae kutoonesha ufundi wa kwenda kuomba katika mataifa ya wenzetu.
Kama tutajitambua na tukaacha ubabaishaji hatuna sababu za msingi za kutembeza bakuli la kuhitaji dawa za sukari wala za vvu,hili jambo la maana kwa mtu mwenye akili zenye kukua lakini ni jambo la muhimu kwa mtu mwenye uzalendo na taifa lake kuonesha ubora kwa 4a9 na uwezo wake,tumeweka ushuhuda huo ilo watu waone ni namna gani watu wamenufaika katika matatizo mbalimbali na si kama watu wanavosema kwamba T.r msigwa nimebezi kwenye ukimwi tu.
Tutoe wito tu kwenye jamii mbalimbali kwa sababu si Tanzania pekee wanaonufaika na 4a9 ni watu wengi kwenye mataifa mengi wanafatilia na wanaagiza 4a9.
Natambua ni watu wengi wanafatilia kwa muda mrefu makala ninazoandika,najua kuna wengine bado wanatafakari na kujiuliza,ni matumaini yangu wakati utafika na wao watatumia 4a9 au ndugu zao au watanzania wenzao watatumia 4a9 walio ndani na nje ya Tanzania.
Tarehe 3,4 na 5 ndio siku niliowakumbuka wenzangu tuliokuwa pamoja katika harakati zangu za utafiti kwa kuwaombea dua bado najali mchango wao japokuwa hawapo tena machoni mwangu.
Ningependa wale wanaofatilia makala zetu kwa imani zao waendelee kuwaombea na kukumbuka, heshma kubwa niliipata kutoka kwao na dua zao walizokuwa wakizitoa kipindi nipo katika mapambano hayo.
Kwa niaba ya wenzangu wote ninaofanya kazi nao ya 4a9 kwa pamoja tunawaombea m.mungu azilaze roho zao mahala pema peponi Amiin.
Naendelea kupokea maswali maoni na ushauri kupitia namba zangu za simu
0713646691
0773149272
0787677211
0752819047
Au email adress
Doctorymsigwa@gmail.com
Mungu ibariki Afrika
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki T.r msigwa.

ANGALIA VIDEO HII..