Alikiba ameitaja nchi nyingine nje ya Afrika atakayofanya tour 2017

 Ni siku moja tangu staa wa bongofleva Alikiba kutangaza kuhusu kufanya tour ya muziki nje ya Tanzania na alitangaza kuanza na nchi ya Afrika Kusini, lakini leo Jan 7, kupitia ukurasa wake wa Instagram ametangaza kufanya tour hiyo  nchini Marekani pia na ataanza na Las Vegas, kisha Austin & Houston Texas, Minneapolis Minnesota na Washington DC kuanzia March mpaka April 2017.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items