Idrisa Sultani aanika Kila Kitu Jinsi Wema Sepetu Alivyomkausha Milioni 500 Zake

Image result for idris na wema sepetu

Mshindi wa Shindano la Big Brother Africa Idris Sultan ameamua kukiri wazi kuwa kipindi yupo kwenye mahusiano na Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu alikumbwa na ukata.

Kupitia kipindi cha Clouds e cha Clouds Tv Idris Sultan amesema wakati yupo kwenye mahusiano yake yaliyopita na mrembo Wema Sepetu alikuwa kwenye Ukata hivyo alijikuta hafanyi vitu vya maana kuliko kipindi hiki ambapo yupo Single.

“ Wakati nipo kwenye mahusiano yangu yaliyopita niliyumba kidogo kiuchumi kwani sikuwa nafanya mambo mengi ya muhimu kuliko sasa hivi kwani hata watu wangu wa karibu watakueleza hivyo,nafurahi niko
single na naendelea kupambana“Alisema Idris.

Ikumbukwe idris alishinda tsh milioni 500 za kitanzania kwenye shindano la big brother Africa. Idris sasahivi ni mtangazaji wa choice FM 
Mpya zaidi Nzee zaidi