Majaliwa Afungua Duka La Dawa La Msd Katika Hospitali Ya Mpanda

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda Januari 17, 2017.    Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Meja Jenerali Mstaafu, Rafael  Muhuga na kulia kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu. Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini , Profesa Sospeter Muhongo, Wapili kulia ni Mbunge wa mapanda Mjini, Sebastian Kapufi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
1A2800    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kakitazama dawa za bibadamu baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda Januari 17, 2017.  Watatu kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Katavi, Muselem Said Abdallah.

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipiga makofi  baada ya kufungua duka la dawa  la MSD katika hospitali ya Mpanda  Januari 17, 2017. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu na kulia ni Mbunge wa Mapanda Mjini Sebastian Kapufi.


  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kakitazama dawa za binadamu baada ya kufungua duka la dawa la MSD katika hospitali ya Mpanda Januari 17, 2017.  Kushoto  ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Laurean Bwanakunu .

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akizungumza na Elizabeth Zephania , mmoja wa wazazi waliojifungua katika hospitali ya Mpanda  wakati alipotembelea wodi ya wazazi ya hospitali hiyo Januari 17, 2017.
Mpya zaidi Nzee zaidi