Pacha wa Ney wa Mitego Awa Gumzo Mtandaoni

 Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.



Baada ya kuibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka WCB, Harmonize kiasi cha kubatizwa jina la ‘Pacha wa Harmonize’, Harmorapa, katika mitandao ya kijamii inasambaa picha ikimuonesha pacha wa msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego’, aliyebandikwa jina la ‘Ney wa Mitego Rapa’.
Picha ya utani mtandaoni  iliyofananishwa na Ney wa Mitego (kushoto) na (kulia) ni Emmanuel Elibariki ‘Nay Wa Mitego.

Mashabiki wa Ney wa Mitego hawajapendezwa na picha ya pacha wa Ney wa Mitego, japo ni utani mashabiki hao wamedai inamdhalilisha Ney true boy.

Mpaka muda huu Ney wa Mitego hajatoa tamko lolote juu ya picha hiyo ya pacha wake mtandaoni.


JIUNGE NASI KATIKA
INSTAGRAM @Muungwanablog

FACEBOOK @Muungwana Blog

YOUTUBE @Muungwana Tube

BOFYA HAPA KU-INSTALLAPP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.
Mpya zaidi Nzee zaidi