Picha: Diamond na Zari wakava jarida la Mamas and Papas la SA

 Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini.

Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February mwaka huu. Kupitia Instagram, Mamas and Papas, wameshare cover lake ambalo limepokelewa na maoni tofauti.

Chini ni picha za siku waliyofanya photoshoot.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items