Raymond rudi umsaidie Madee kuandika nyimbo kaishiwa- Nay wa Mitego

Nay wa Mitego ameuweka uhasimu wake na Madee kwa kumuomba Raymond amsaidie rais huyo wa Manzese kumwandikia nyimbo.
Nay alitoa ushauri huyo baada ya watangazaji wa kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, kumsikilizisha wimbo mpya wa Madee, Hela akiamini kuwa hauna kiwango cha kuridhisha.

“Nimeusikiliza, nimemuona Raymond anatakiwa kurudi sehemu kuwasaidia kaka zake,” alisema Nay

Kwa muda sasa Nay na na Madee wamekuwa kwenye uhasama kimuziki.

 JIUNGE NASI 
 INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.


Mpya zaidi Nzee zaidi