Dar es Salaam. Ripoti ya utafiti iliyotolewa na Benki ya Dunia (WB) kupitia kiashiria cha utoaji wa huduma kwa mwaka 2016, umeonyesha asilimia 37 ya walimu licha ya kuwapo shuleni, hawakufundisha.
Ili kutatua changamoto hizo, Taasisi ya Econect imetengeneza mfumo wa kielektroniki wa kanzidata (database) ambao utasaidia Serikali kusimamia elimu nchini.
Mkurugenzi Mtendaji wa Econect, Hashimu Magesa amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari.
Magesa amesema katika mfumo huo, wamejikita kutatua changamoto za upatikanaji takwimu sahihi za ufundishaji na kwa wakati.