Kabla ya kumkabidhi kadi Mbowe alisema yafuatayo >>> ‘Leo tunampokea rasmi tena Mh. David Kafulila ambaye amerudi kwenye chama alichokua amekizoea na kushiriki kukijenga, Mh. Kafulila hapo katikati alipata ajali ya kisiasa lakini tunamshukuru hakwenda CCM akaenda chama kingine cha upinzani‘
Baada ya kupewa kadi yake David Kafulila amesema >>> ‘Niwashukuru Wajumbe wote na viongozi wakiwemo Mawaziri wakuu wastaafu kwa namna ambavyo mmeendelea kukijenga chama hiki ambacho cha kweli hiki chama ndio nyumbani kwetu haswaa‘
Unaweza kutazama hii video hapa chini kujionea ilivyokua…
JIUNGE NASI
INSTA@MUUNGWANABLOG ,FB@MUUNGWANABLOG,YOUTUBE @MUUNGWANA TUBE, BOFYA HAPA KU-INSTALL APP YA MUUNGWANA BLOG ILI UPATE URAHISI KUZISOMA HABARI ZOTE KWA WAKATI.