Kocha wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ambaye ameweka wazi kwamba anataka kumrejesha mchezaji wake, Jack Wilshere katika kipindi hichi cha uhamisho wa majira ya joto msimu huu.

Kwa sasa mchezaji huyo wa Arsenal anakipiga klabu ya Bournemouth kwa mkopo tangu Agosti mwaka jana