4A9 INAVYOFANYA KAZI

Tunakila sababu ya msingi ya kutizama mambo kwa upana wake tukifanya hivyo tutaweza kukinga madhara kwa mfano siku tatu nyuma zilizopita. Baadhi ya magazeti nchini Tanzania yalionesha baadhi ya Dada zetu wakilalamika kuwa kazi yao sasa soko lake limeshuka wamekuwa wakikesha katika baridi Kali bila mafanikio yoyote. Huenda wateja wao hawajatoa malalamiko. Tr msigwa anawaombea wateja wao ifikie hatua walalamike Ili tujue tatizo ni nini.

Lakini ukisikiliza kwa makini malalamiko ya Dada zetu (wauza miili yao ili wajiingizie kipato ukitazama biashara hii madhara yake ni makubwa sana kwenye jamii. Lakini kabla hatujazungumzia madhara watu hawa wamegawanyika katika sehemu tatu au nne .kuna baadhi ya kina Dada wanafanya kazi hii kwa dhiki tu hawana njia nyingine ya kufanya .kuna wengine uwezo wanao ila ni tabia yao tu hata kama yupo kwenye ndoa ni lazima awe na mtu mwingine.

Mtu huyu wa pili yeye hajali chochote anachoangalia yeye ni kuwa na mwanaume mmoja kama ngao na mwanaume wa pili ili aongeze kipato chake huyu ni mtu asieridhika na anachokipata .mtu wa namna hii ni rahisi sana kuleta madhara ndani ya familia na huwa chachu wa kueneza madhara hayo. Kutoridhika kwake ni moja ya chachu na matatizo yatokanayo na ngono. Lakini pili huleta madhara katika serikali ,serikali italazimika kumuhudumia kwa dawa zinazotumika kupunguza makali ya virus wanaoleta ukimwi.

Kwa hiyo kiwango cha maambukizi kitaendelea kwa sababu malezi ya kifamilia au kiroho hayakupata nafasi inayostahiki .mtu wa tatu Ana akili kuambiwa yeye hupenda kusikiliza ya marafiki zake tu bila ya kupata uwezo mzuri wa kuyachuja anayoambiwa hujikuta anaingia katika vikundi ambavyo hukatisha ndoto ya safari ya maisha yake ukitazama umepata madhara kwa ajili ya laki moja tu, au elfu kumi au elfu hamsini kwa kutokuwa na uwezo wa kupima na kutoweza kuzuia vishawishi anavyokutana navyo ndani ya macho yake.

Ni muhimu kutafakari kwa kina kabla ya kufanya jambo unalotaka kulifanya .lakini kuna baadhi ya wanaume wasioridhika wala kujitambua labda kwa matatizo waliokuwa nayo kwa mfano mtu anaweza kupata tatizo la henia akaonana na daktari akamshauri mtu yule afanyiwe upasuaji na akatoa masharti kwa mujibu wa taaluma yake. Mtu Yule akafanyiwa upasuaji ule na akapewa masharti hayo kwa bahati mbaya au maksudi akaamua kukiuka amri ya docta mtu huyu anafikia sehemu anashindwa kutekeleza wajibu wake kama mwanaume katika familia yake.

Anaposhindwa kabisa kutekeleza wajibu wake kwa mkewe nayo ni sababu nyingine ya madhara yanayokuja baadae. Anaweza kumuacha mwanamke Yule free ili kulinda heshima yake na mwanaume Yule kuona ni jambo la kawaida kwa kuwa anaficha aibu yake. Wanaume wa aina hii wenye upeo finyu wa kufikiria zaidi huhisi mwanamke huyo ameshawishiwa kwa nguvu za kishirikina ili asiweze kuwa nae mwanamme huyo na hatimaye kuanzisha uadui na mtu mwingine pasipo kujua chanzo cha tatizo hilo ni wapi.

Kwahiyo jamii inaingia katika migogoro kwa watu kutofikiri kwa kina kwa yale wanayoyaona na kwa Yale wanayotaka kuyafanya. Tr msigwa haya anayoyaandika wakati alipokuwa anakutana na watu mbalimbali katika ziara yake ya kukusanya maoni kwa watu wanaotumia 4A9 .tr msigwa anapenda kuwasihi waganga wa tiba asili, tiba mbadala, wenye kupandisha majini baadhi yao pamoja na watu mbalimbali wenye kujishughulisha na maswala ya tiba. Kuna vitu vingi vinafanyika vinavunja heshima ya taaluma yao, pia vinaleta usaliti wa kugombanisha watu pasipokuwa na sababu ya msingi.

Wakati msigwa alipofika chita alikutana na mama mmoja anaeishi dar lakini ni mzaliwa wa chita mama huyo aliposikia nipo chita alikuja akaniambia nimeumia kilichoniumiza ni rafiki yangu wa kike nilimuhadithia namna ninavyoishi na mume wangu, mume wangu ni mlevi akishalewa akifika nyumbani ni ugomvi haya nayanukuu  aliyonihadithia mama huyo.. Tr msigwa naweza kuwa na mume wangu simu ikaita ya mwanamke mwingine basi akatoka akaniacha kitandani akarudi nyumbani saa tatu asubuhi.

Nilipomuhadithia rafiki yangu akaniambia twende nikupeleke kuna mtaalam kiboko anaishi mbagala tulipofika kwa mtaalamu Yule nikamuahadithia kisa chote kuna vitu akaniagiza lakini pia sharti la dawa ilikuwa lazima dawa moja afanyiwe palepale na mganga Yule alimsalitisha vizuri kwa maneno na kuniambia ndoa yako itakuwa vizuri lakin lazima ufanye sharti moja kuna dawa naweka mimi sehemu zangu za siri halafu nikutane na wewe kimwili halafu wewe ukakutane na mume wako atakupenda tu lazima na hata kufanyia tena ukorofi mama Yule akakutana na mganga Yule wa kienjeji kwa kudhani kuwa akifanya vile amani itapatikana katika familia yake na kweli akaenda kukutana na mumewe kama alivyoagizwa na mganga Yule hali ile na tabia ya mumewe haikubadilika .baada ya miezi miwili mbele mumewe akapata ugonjwa wa gono alipoenda hospital akaambiwa hivyo akajua moja kwa moja ni mkewe akarudi nyumbani akamuhadithia mkewe wakatoka wote wakaenda hospital kupima.

Mke akagundulika ni muathirika wa virus vya ukimwi ila mume akawa hana maambukizi hayo. Kaka msigwa mpaka sasa tunazaidi ya miaka mitatu mume wangu kila akienda kupima anakutwa hajaathirika ila Mimi nimeathirika. Tr msigwa nishaangaika sana kutafuta waganga kupata ufumbuzi lakini mpaka sasa nishakata tamaa msigwa unanisaidiaje. Kama kawaida yangu nikaguna. Kwanza Mimi nayazungumza haya kwa kutaka jamii ibadilike .kutokana na safari yangu ya utafiti ningewashauri viongozi wa dini wajizuie na wapende kuwashauri wagonjwa wawapokee wakiwa na taarifa zao sahihi ilikuepuka lawama zisizokuja na tija.

Wakifanya hivyo watalinda heshima zao na pia lazima wafahamu kichwa huwa kinazidi na kupungua kichwa ninachokizungumzia Mimi ni tofauti na fangasi wanaopanda kichwani, ni tofauti na kichwa cha mtu mwenye presha ,ninachokizungumzia Mimi ni kichwa chenye kupungua na kuzidi hapa watu hawataelewa ila atakae pata fursa ya kupiga simu nitamuelekeza vizuri.  

Tokea tuanze kutoa ushuhuda sasa takriban ni miezi 6 huko nyuma nilisema hoja huvunjwa na hoja madhubuti tumeonesha watu mbalimbali walionufaika kupitia dawa yetu ya 4A9 hii imekuwa ushahidi tosha kwa watu wanaotumia mitandao ya kijamii asilimia kubwa watu wamenufaika tokea tr msigwa aanze kuandika kwa kina malalamiko alioyapata ni mawili moja ni chunya mzigo wake haukufika kwa wakati na ulipofika alishindwa kuufatilia kwa sababu zake binafsi wapili alikata tamaa baada ya kukosa vipimo cha kutambua virus katika damu bahati mbaya kipimo hiki hakipo katika mikoa mingi hili ndio tatizo linalotukabili sisi pamoja na wagonjwa.

Upande wangu tr msigwa pamoja na taasisi yetu inayofanya tafiti bara na visiwani tumeshaomba wahusika waje kukagua sehemu za kufugua maabara sasa inakwenda wiki ya tatu tunaambiwa tuwe na subra. Tutakapopata kibali hicho tutafungua maabara itakayowasaidia wagonjwa kujua afya zao kabla na baada ya kunywa dawa .hata hizo dawa zinazoambiwa za kisasa inakuwaje mtu anakula dawa mwaka mzima bila hata ya kupima sasa kuna tofauti gani ya mganga wa kienyeji na mganga anaesemekana ni wakisasa zaidi. Nichukue fursa hii kwa kuwaomba madaktari au wasomi wasipate tabu ya kubisha katika mitandao tr msigwa yupo kama unahoja zaidi njoo ukutane naye.

Pia niwapongeze vijana wangu wawili mmoja sijawahi kuonana nae ila yeye ananijua kupitia mitandao ya kijamii kwa ushauri wake mzuri na kwa misaada midogomidogo katika harakati za 4A9 kuwasaidia watu pia naweza kumtaja kijana rashidi anaishi dodoma .hawa watu mungu atawalipa kwa ukarimu wao kwangu. Nimalize kwa kusema wale wote wanonitumia sms kwenye simu yangu huwa ninawatumia ujumbe huu ninaouandika kwa nia njema .tunafahamu kuwa kuna wanaopenda na wasiopenda kalamu yangu haimlengi mtu ila ninaandika yale ninayoyaona wakati nakusanya ushuhuda wa watu waliotumia 4A9
kwa mawasiliano piga namba
0713646691
0752819047
Email. Msigwatwayibu@gmail.com


ANGALIA VIDEO HII

Mpya zaidi Nzee zaidi