Nyumbani BREAKING NEWS: Manji akamatwa tena wakati akitoka sentro, arudishwa ndani byMuungwana Blog 5 -2/09/2017 01:57:00 PM 0 Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji amerudishwa na kushikiliwa ndani ya Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam. Manji alirudishwa kituoni hapo akiwa tayari amefika nje akiwa tayari kuondoka. Facebook Twitter