Breaking News: Serikali imevifuta Vituo vyote vya huduma za Afya ya VVU Na Ukimwi

Serikali kupitia Wizara Ya Afya imevifuta Vituo vyote vinavyotoa huduma za Afya ya VVU Na Ukimwi kwa Makundi Maalum baada ya kubainika kwamba Vituo hivyo vinahusika na kuhamasisha Mapenzi ya Jinsia Moja na Ushoga.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu akizungumza na waandishi wa habari
Mpya zaidi Nzee zaidi