Kwa nchi za wenzetu swala la kumshambulia mke au mchumba wako nyumbani linachukuliwa serious sana kiasi kwamba mhusika anaweza kupatwa na hatia za kufungwa jela.
Sasa hivi story kubwa inamhusu mchezaji wa Atletico Madrid Lucas Hernandez mwenye miaka 20. Mchezaji huyu anatuhumiwa kumpiga girlfriend wake wakiwa nyumbani kwao na kumuachia majeraha. Lucas ameshapelekwa polisi lakini kocha wake Diego Simeone hajafurahishwa na kitendo hicho zaidi.
Baada ya kuachiwa na polisi ni kwamba Lucas yupo free na anaweza kupangwa na club yake akacheza mechi. Lakini kocha wake amemuacha kwenye kikosi cha mechi ya weekend hii.
Hernandez amekutwa na kosa la kumshambulia mchumba wake, hivyo hata kocha wake anaweza kumchukulia vitendo vya kinidhamu kwa kujali image ya club au hali ya kisaikolojia ya mchezaji huyo.