Mkuu wa jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Ernest Mangu amekutana na Waandishi wa habari leo February 4 2017 na kuelezea ishu ya dawa za kulevya iliyoibuliwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda na kuhusisha baadhi ya watu maarufu na wanaotuhumiwa kufanya biashara hiyo, kila kitu alichosema kipo kwenye hii video hapa chini.
