CHAMA cha Walimu wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kimekabidhi mabati yenye thamani ya shilingi mil 6.1 kwa walimu kumi na wanane waliostaafu kazi ikiwa ni utaratibu wa chama hicho kuwapa mkono wa kwa heri wanachama wake wanapostaafu utumishi.
Wastaafu hao wameiomba serikali kuangalia upya utamaduni ulioanza kujengeka mwalimu ndiye anayesababisha wanafunzi kufeli na kuwavua madaraka baadhi ya licha ya ukweli kuwa ufaulu unachangiwa na kila mdau katika jamii na siyo mwalimu peke yake.
Wastaafu hao 18 wamekabidhiwa bati zenye jumla ya shilingi mil 6.1 ikiwa ni utamaduni wa chama cha walimu kuwaaga wanachama wake wanapostaafu hafla iliyofanyika katika ofisi za CWT mjini Sumbawanga, walimu waliopo kazini wameaswa kuacha kukopa mitaani kwa riba kwani kufanya hivyo ni kuidhalilisha taaluma ya ualimu.