Joe Hart kutua Arsenal kwa pauni milioni 15

Klabu ya Arsenal inasemekana inataka kumsajili kipa Joe Hart ili aje kuchukua nafasi ya Peter Cech, ambaye saivi ana umri wa miaka 34.

Man City watakuwa tayari kumuuza Hart kwa kiasi cha pauni milioni 15. Hart ambaye ana miaka 29, kwa sasa yupo kwa mkopo katika klabu ya Torino huko nchini Italia.
Mpya zaidi Nzee zaidi