Mshambuliaji wa umri wa miaka 23, Harry Kane akiifungia bao la pili kati ya matatu timu yake, Tottenham Hotspur katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Fulham kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA, England leo Uwanja wa Craven Cottage mjini London