Mashabiki Wa Lipuli Fc Wakishangilia Timu Yao Kupanda Daraja

 Mrembo shabiki namba  moja  wa Lipuli Fc kikosi cha AMSHA POPO akishangilia ushindi wa Lipuli FC dhidi ya Polisi Dar kwa  kuzunguka Uwanja wa Samora mjini Iringa  na gari lililotengenezwa  kienyeji maalum kwa  ajili ya kushangilia ushindi wa Lipuli Fc


Mpya zaidi Nzee zaidi