TANGAZO: MISOSI TAKEAWAY IMEFUNGULIWA RASMI




MISOSI TAKEAWAY imefunguliwa Rasmi leo maeneo  ya Magomeni Mapipa mtaa wa idrsa na Morogoro road tunatazamana na kituo cha Mabasi ya Mwendo kasi...

Njoo upate Supu Utumbo, Supu Ng'ombe Maharage ya nazi na chapati, Mix ya Kizanzibar na Chips sekela, Kuku wa Ndimu, na Mishkaki kwa bei nafuu.

Pia tunaDiliver kwa watu wa karibu piga simu namba 0652707072
















Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items