VIDEO. Wema aalikwa Kuhudhuria 40 ya Prince Nillan, Mtoto wa Diamond na Zari
byUnknown-
0
Leo February 9 kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikuwa Mubashara kuzungumzia arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan pamoja na hayo wameongelea mengine pia.