"Nilishasema nastaafu kuigiza, nimebakiza movie moja tu, na baada ya hapo sitacheza tena movie, nitabaki kuwa producer" - Hayo ni maneno ya msanii Jacob Steven maarufu JB Akiwa kwenye kipindi cha KIKAANGONI kupitia East Africa Media alipoulizwa kuhusu mipango ya kustaafu.
"Mimi nimeokoka, nampenda Yesu, nina mke mmoja, sina hawara" - JB #KIKAANGONI

