Nikki Mbishi ataka BASATA waifungulie ngoma yake ya 'I 'm Sory JK',


Rapa @NikkiZohan ailalamikia BASATA kwa kuufungia wimbo wake 'I 'm Sory JK', huku wakiruhusu 'Wapo' ya @naythetrueboy hivyo ameitaka BASTA kuufungulia. ameyasema hayo wakati akipiga stori na East Africa Radio
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia