Maneno 18 matamu ya kumwambia mwanaume na kuuteka moyo wake

Kunong’onezana maneno yalio na mvuto au kuandikiana barua kutuma kwa umpendae, yamepitwa na wakati kwa kizazi hiki, mwanzo vitu hivyo vilikuwa vinaleta mapenzi na hisia za ndani kwa kila mtu.

Siku za leo, tuna njia nyingine , bila shaka unaweza kuwa bado unatuma barua na kunong’ona kwa mwanaume kwa maneno matamu kwenye sikio lake. Hata hivyo kwa sasa unaweza kutuma ujumbe kwa kumemail au kwa ujumbe wa kawaida.

Hata hivyo , tangu imekuwa na urahisi wa kuwasiliana, kwa nini usijifunze maneno matamu na ujaribu kumtoa katika hali ya huzuni na kumpeleka katika ulimwengu mwingine kwa kuondoa migomo.?

Kwa njia hio, kama unapenda kujifunza jinsi ya kuongea hayo maneno na kuugeuza moyo wake, kujenga muungiliano na utulivu na kutunza mawazo yake akiwa kazini akiwa anakuwazia wewe, kwa hio unahitaji kuangalia mbinu zaidi kutoka kwenye makala hii.

Lakini kama maongezi matamu ni zaidi ya mtindo wako,- angalia mtiririko huu wa mambo matamu ya kusema kwa boyfriend, kwa vyote kwa upya na mahusiano ya muda.

INAHUSU MAHUSIANO YA MUDA MREFU.

1.Natamani ungekuwepo muda huu sasa hivi.


Sentensi hii inamfanya mume wako aone ni jinsi gani umemmisi. Zaidi ya yote, kila mmoja anahitaji kuona anahitajika kwa mwenzake.ni neno zuri, hata hivyo, unaweza kuwa umesema au umetuma ujumbe kwake mara nyingi, kwa kuwa usionekane wewe ni mwepesi, ujumbe huu unahitajika kwa wale ambao wamekuwa kwenye mahusiano ya muda mrefu. Majukumu ya mahusiano.

2.Walisema mapenzi haya hutokea mara moja, lakini sikuamini mpaka muda niliposikia nimekupenda sana.


Ujumbe huu unaonyesha hisia za ndani kwamba umemweka moyoni mwako mumewe.

3.Ninapokuangalia machoni naona njia ya ulimwengu ninaotaka niwepo.


Ujumbe huu mfupi ni wa ndani sana,hata hivyo unahitaji kuutumia pengine boyfriend wako angekushukuru, kwa mfano inaweza kuwa ni ujumbe mahususi kabisa hasa pale mnapokuwa mmeanzana tu. lakini kama mko kwenye mahusiano ya muda mrefu ni sawia kabisa. Kwa msaada zaidi jinsi ya kumridhisha mume kitandani , fuatilia makala zangu.

4.Kama nimepata raha maisha yangu, kitu kimoja tu ningetaka kukibadilisha kuwa ningekuwa nimekutana nawe tangu zamani.


Huu ujumbe mtamu, kwa mume wako kwa kuwasiliana ni ujumbe wa hisia za ndani sana, kwamba unajilaumu kuwa hukuweza kukutana nae mapema.

5.Mara zote unajua kunifanya nitabasamu, hata wakati nimehuzunika.


Mawasiliano mazuri ni urafiki wa kimapenzi, wa fikra zinazifikirika za maisha yote ya hali ya chini na ya juu, kwa hio kama wewe unamtegemea mume wako tu kukufanya uwe na furaha wakati unapopatwa na shida, na wewe fanya vilevile kwake, hii inaonyesha kujali, mahusiano ya upendo, mawasiliano kama haya humfanya mwanamume afahamu kuwa unafanya kitu cha uhakika kwamba unamfanya ajisikie vyema.

6.Hakuna mwanaume duniani anaweza kunielewa vizuri kama unavyonielewa wewe. Nahisi kukukumbatia kila wakati ninapoomgea na wewe.


Mahusiano mazuri huhitaji uaminifu na ukweli, na uwazi wa mawasiliano, kwa hio kama unaweza kusema haya kwake utamfanya ajisikie kuthaminiwa na inshara ya mahusiano bora.

7.Najisikia salama na amani ninapokuwa karibu yako.


Mwanaume anapenda kusikia ujumbe huu, kama mwanaumme hupenda kujulikana kuwa wao ni walinzi wa familia. Kwa kufahamu kwamba unalitammbua na kuliona hilo, na hii inakuja kama uliwahi kuumizwa hapo mwanzo , na sasa unapata ulinzi wa kutosha , kama hii ni kweli basi utamfanya ajisikie kuwa mshindi.

8.Nafurahia urafiki wako zaidi kuliko mtu yeyote humu duniani.Wakati wanandoa wanapoingia kwenye mahusiano yenyewe, huanza na kombania ya urafiki kwanza , kwa hio huu ujumbe , au maneno haya ni hatua kubwa sana katika mahusiano.

Utapata mbinu zaidi kwenye makala nyingine jinsi ya kumtimizia mume mahitaji yake.

9.Siwezi kufikiria maisha yangu bila wewe.Pindi maisha ya watu wawili yanapounganishwa, inakuwa ngumu kwa kila mmoja kufikiri maisha yao bila ya nusu yake hii ni hatua ya kweli katika maisha ya mahusiano, kwa hio kuwasiliana kwa namna hii utamfanya mume wako ajisikie kupendwa.

10.Marafiki zangu wananionea gere kuwa na wewe.
Itaonyesha maumivu mwanaume kusikia hivyo, kwamba kuna watu wanakuonea wivu kuwa kwenye mahusiano na wewe, basi haya ni maneno mazuri , ujumbe mtamu, na utakuwa umefikisha mahali pake.

11.Sifahamu umeniwekaje , lakini nina furahi umefanya hivyo.
Kusema kwa namna hii , na kwa kuwa unafahamu kuwa ni ilikuwa ni vigumu kukupata kwa muda mrefu alihangaika juu yako. Na hii ni meseji nzuri sana ya kumtumia na kumkumbusha jinsi gani aliweza kukupata.

12.Ni moyo wangu pekee unaweza kukuambia jinsi ninavyokupenda, maneno yangu hayatoshi.
Hii ni kweli , katika mahusiano hakuna njia ya maneno pekee yanayoonyesha upendo kwa mume au mke, bali ni vitendo vya mtu na moyo wa mtu. Kwa hio jinsi unavyojisikia kwa mumeo , atajiona ni mtu mkubwa sana.

INAHUSU HASA WALE WENYE MAHUSIANO MAPYA.

13.Wewe ni mpole unapokuwa na mimi.
Kusema haya maneno matamu kwa boyfriend wako unasevu makusudi mawili. La kwanza kabisa linamwambia mwanaume jinsi gani unamkubali, na uchivalrous wake mnapokuwa wote mnatembea mtaani. Na pili linamwambia kuwa unahitaji aendelee na huo upole wake na uchivalrous wake

14.Wewe ni mwanaume mwenye akili, Unafahamu vitu vingi sana.
Haiwezi kuumiza mshituko wa nafsi ya mtu wako kidogo. Hata hivyo kila mtu anahitaji kuheshimiwa na kupendwa, kwa hio , hili nalo ni tamu unaweza kulitumia hata kama mahusiano yenu ni bado mapya sana.

15.Nilikuwa na siku mbaya , lakini nilipokufikiria mara ulimwengu wangu ukawa tofauti.Hii ni sentesi rahisi sana kama ni sentensi ya kweli kutoka kwako, kwa hio ni kitu ambacho boyfriend wako atapenda kusikia kutoka kwako na ataikubali.

16.Sijawahi kukutana na mwanaume kabambe na mwenye maamui kuliko wewe..
Na hii ni nyingine yenye kugusa kumoyo wa mwanaume, na maneno matamu , hilo ni wazo la mahusiano mapya.

17.Wewe ni zaidi ya mwanaume sijawahi kukutana nae.
Na huu ni ujumbe rahisi sana , unawakilisha jinsi gani unamkubali mtoto wa kiume huyo, zaidi ya wanaume wengi, ingwa sio wote hupenda kuwa kama wewe na kuwa na ubinadamu . kwa hio haya maneno ni matamu na ya uhakika kumfanya mtu wako kujisikia ni wa pekee.

18.I can’t wait to see you tena.
Hii ni sentensi rahisi kusema, bado ni ujumbe mtamu wa kuwasilisha jinsi gani unamkubali mtu wako huyo, na kwamba unaangalia mbele kwa ajili ya kuwa pamoja nae kwa kipindi chote maisha na huyo mtu wako. Katika mahusiano mapya , hii pia inaonyesha hamu ya kuendelea kukuza mahusiano.