Maneno ambayo husaidia kuamsha hisia za kimapenzi


Kuna mwanafalsafa fulani aliwahi kuandika katika maandiko yake akisema ya kwamba, maneno ya upendo yana nguvu sana katika mahusiano. Mtu unamwambia maneno mazuri na matamu katika mahusiano hujenga hisia mpya za kimapenzi.

Hivyo kila wakati unatakiwa kujifunza kumwambia maneno yafuatayo mpenzi wako ili kujenga hisia za kimapenzi :

1. Umenifanya niwe mtu bora

2. Umenifanya nijisikie Kupendwa

3. I love you so much.

4. Kila niwapo na wewe najisikia vizuri.

5. Sitasubiri kukuona tena.

6. Napenda kutumia muda mwingi na wewe.

7. Napenda niwe wako.

8. Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako.

9. Napenda uso wako.

10. Nashukuru kukuona

11. You’re so beautiful/handsome

12. Unanijali vizuri

13. Unanifundisha vitu vipya kila siku

14.I love how funny you are

15. Unanitaka niwe mwenza bora, naweza kuwa hivyo kwa ajili yako

16. Asante kwa kuwa nyuma yangu kila mara.

17. Napenda uwepo wako

18. You’re amazing

19. Wewe ni mtu wangu pekee katika sayari hii

20. Kuwa na wewe napata furaha

21. Unaufanya moyo wangu utulie

22. I feel so loved by you

23. Napenda jinsi ulivyo mtu wa fikra

24. Mara zote unanipa ushauri mzuri

25. Maisha ni mazuri nikiwa upande wako/ukiwa upande wangu

26. You’re the best

27. Kamwe sitaki kuwa na mwingine lakini wewe.

28. Wewe ni familia ambayo nilitaka niwepo.

29. Kila wakati unajua kitu kizuri cha kusema

30. Napenda maisha tuliyonayo pamoja

31. Siamini jinsi nilivyo na bahati ya kuwepo na wewe.

32. Sijawahi kusikia hali hii niliyo nayo kuhusu wewe

33. Unanifanya niwe mwanamke bora/mwanaume bora kwa sababu niko na wewe.

34. Napenda jinsi ulivyo na akili

35. Wewe ni mwenza mzuri

36. Nafurahia ninapokuwa na wewe

37. You’re incredible

38.Una akili sana

39. Unaufanya moyo wangu ushibe

40. Kila niwapo na wewe  nina furaha

41. Nakutamani

42. Umeniletea furaha

43. Sihitaji mtu mwingine ni wewe

44. Tukue sote pamoja

45. Nashukuru kukupata

46. Najisikia vizuri ninapokuwa karibu yako

47. Najisikia kupata msaada mkubwa kwako

48. Maisha ni mazuri sana nikiwa na wewe

49. Sitaboreka nikiwepo na wewe

50. You make me so happy.