Bunge la Ulaya lazuia gazeti la Daily Sabah


Naibu waziri mkuu wa Uturuki akemea hatua ya baraza la bunge la Umoja wa Ulaya kuzuia gazeti la Daily Sabah

Naibu waziri mkuu wa Uturuki Numan KurtulmuÅŸ amelaani vikali hatua iliochukuliwa na baraza la bunge la Umoja wa Ulaya kuzuia gazeti la Daily Sabah kusambazwa katika bunge la Ulaya.

Naibu waziri mkuu wa Uturuki alifahamisha kuwa kitendo hicho ni wazi kuwa Ulaya unaunga mkono "hapana" katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika ifikapo Aprili 16 nchini Uturuki.

Numan KurtulmuÅŸ aliyasema akiwa katika ziara yake Gaziantep kusini-mashariki mwa Uturuki Ijumaa.

Gazeti la Daily Sabah, ni jarida ambalo hupasha habari kwa lugha ya kiingereza matuko tofauti nchini Uturuki.

Ni wazi kuwa hatua hiyo inatoa kipaumbele kwa makundi ya siasa za kÅŸnazi na kifashisti.

Numan KurtulmuÅŸ amekemea hatua ya kuruhusu magazeti ambayo yanafanya kampeni ya "hapana" Magharibi.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items