Gazeti la Kenya limemchora Rais Magufuli katuni na kumuita 'Dikteta'


Gazeti moja la nchini Kenya linalojulikana kama The Star Kenya limemchora Rais Magufuli katuni na kumuita dikteta kupitia ukurasa wake wa facebook

Udaku Special Blog Tunalaani kwa Kitendo hiki Ambacho Hakimtendei Haki Mhe Rais Magufuli

Chanzo: The Stars Newspaper