Mwanasoka wa zamani wa kimataifa wa England na klabu ya Livepool, John Barnes (katikati) akiwa ameshika jezi ya timu ya taifa ya Tanzania baada ya kuwasili Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) mjini Dar es Salaam leo kwa ajili ya maazimisho ya miaka 100 ya benki ya Standard Chartered ambayo ni wadhamini wakuu wa klabu ya Liverpool.