Mzee Majuto ameposti picha hiyo, na kurudia maneno aliyosema Nape

SDiku moja baada ya Nape Nnauye kuondolewa katika nafasi yake ya Uwaziri, alikutana na wanahabari ambapo moja ya vitu alivyozungumza ni pamoja na kauli ya "Mbegu hufa kwanza kabla ya kuota" basi Kupitia ukurasa wa Instagram wa nguli wa sanaa ya maigizo King Majuto  ameposti picha hiyo huku akiyarudia maneno hayo yaliyotamkwa na Mbunge huyo wa jimbo la mtama



Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia