Nyalandu: Bunge lazima lijadili ishu ya Clouds Media


Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa katika kutekeleza wajibu wake kikatiba ni lazima Bunge lijadili na kuazimia kuhusu kilichojiri Clouds Fm hali kadhalika Uhuru wa Vyombo vya Habari, Lakini pia ameeleza kusikitishwa kuona afisa akimtishia silaha waziri mstaafu.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia