Quickrocka
Msanii Quickrocka (Switcher Baba) amesema hawezi kujisifia kuwa raia wa Tanzania kuanzia sasa kutokana na kile anachokiamini yeye kutendeka ndivyo sivyo.
'I don’t feel proud' kuwa Mtanzania 'anymore'…Tunatangazaje na kusifia nchi ambayo viongozi wanaosimamia ukweli na sheria wanaondolewa…Huku wanaozingua wanaendelea kupeta. Nape alikua Waziri sahihi kabisa kwetu wasanii,wanamichezo na Wanahabari". Ameandika msanii huyo.

