VIDEO: Ney wa Mitego Afunguka Baada ya Serikali Kuamua Kumwachia na Kutoka Selo
byUnknown-
0
Ney wa Mitego amewashukuru wasanii wote walioonyesha sapoti kwake kipindi alichokuwa matatizoni
pia amemshukuru Rais Magufuli na waziri wake Mwakyembe, ila kuhusu kuonana na Mwakyembe Dodoma kama waziri alivyotaka amesema mpaka afikirie kwanza