VIDEO: Waziri Mbarawa alivyosimamishwa kujibu ahadi ya meli Bukoba

Ziara ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa inaendelea mkoani Kagera ambapo March 24, 2017 alifika katika Bandari ya Bukoba na kukutana na swali la Meya wa Manispaa hiyo Chief Kalumna ambaye alitaka ufafanuzi wa Waziri kuhusu ahadi ya meli iliyotolewa na Serikali ambayo hadi leo haijatekelezeka.


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Ujuwe Ugonjwa wa Busha

Kilimo cha Bamia