Kauli ya Manara baada Kufungiwa




aliyekuwa msemaji wa Klabu ya Simba haji Manara amelalamikia adhabu aliyopewa na TFF kutokana na kuhukumiwa bila ya kusikilizwa.
Manara aliachia ujumbe huo kwenye akounti yakle ya mtandao wa Picha wa Instagram jana na kudai kuwa angepewa nafasi ya kusikilizwa



hata hivyo Kamati ya nidhamu imetoa fursa kwa Manara kukata rufaa kwenda ngazi za juu ikiwa hajaridhika na maamuzi yaliyotolewa.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items