Kilo 384 za pembe za ndovu zakamatwa Zambia

Maafisa wa polisi nchini Zambia wafahamisha kukamata pembe za ndovu pamoja na wawindaji 8 haramu siku ya Ijumaa .

Msemaji wa wizara ya utalii  Sikabilo Kalembe aliambia waandishi wa habari kuwa pembe hizo zilizkuwa zinapelekwa Ulaya na Asia ambapo biashara yake huwa juu sana .

Pembe hizo za ndovu zilipatikana magharibi mwa Zambia ambapo wawindaji hao haramu walikuwa wanavukisha kupitia Namibia .

Kwa mujibu wa Kalembe wawindaji haramu wanachukua fursa ya uwa hamna ulinzi imara katika mpaka wa Zambia .
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items