Korea Kaskazini Yasema Iko Tayari kwa Vita na Marekani

Hayo ni maneno ya uongozi wa Korea Kaskazini katika joto la wababe hawa linaloendelea kupanda kila kukicha.

"Tumejiandaa vizuri kwa chochote kitakachotoka kwa Marekani."

Haya yanatokea wakati Korea Kaskazini inajiandaa na tukio kubwa wanaloliita "day of the sun" na huenda na siku hiyo wakafanya majaribio ya silaha zao za nuclear. 
Mpya zaidi Nzee zaidi