Mwandishi wa Blog hii Faki Sosi amepotelewa na kitambulisho chake cha kazi
Tunawaomba kwa yoyetemahala popote akikiokota Kitambulisho hicho kilichopotea katika mazingira ya usafiri alikokuwa akisafiri
Mwandishi huyo katika kutimiza jukumu lake la kuuhabarisha umma alipotolewa na kitambulisho hicho.
Siku hiyo mwandishi huyo alikuwa amepanda Daladala iliyokuwa akitoka Posta kwenda Kimara.
Kwa yoyote atakaye kipata awasiliane na Mkurugenzi Mtendaji Muungwana blog/ Tv. 0719788949 Rashid Malik

