Mashabiki wa Yamga mmesikia alichokisema Manara?

Baada ya Yanga kutupwa nje ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), inayojulikana kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) kufuatia kipigo cha 1-0 kutoka kwa Mbao FC katika mchezo wa Nusu Fainali jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Basi Haji Manara wa Simba ameposti ujumbe huu

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items