Leo April 4, 2017 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekutana na Waandishi wa Habari Jijini humo na kuwaeleza kuwa amebaini ufisadi wa zaidi ya Takribani Tsh Bilioni 7 katika zoezi la tathmini ya malipo ya fidia kwa wakazi wa jiji hilo waliotakiwa kupisha upanuzi wa barabara na ujenzi wa Mifereji sambaamba na uboreshaji wa mji. Alichokisema kuhusu Takukuru na walioshiriki kwenye ubadhirifu huo? vyote ameeleza kwenye Video Hapo chini...
