VIDEO: Tundu Lisu akiwasili Mahakama ya Kisutu Leo 3/4/2017

Mbunge wa Singida Mashariki Lissu amehudhuria Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi tatu zinazomkabili pamoja na kutoa maneno ya kuhimiza na kuamsha hisia za dini wa wananchi wa Zanzibar katika eneo la  Kombe kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani.

Katika kesi nyengine ni ya uchochezi kupitia Gezeti la Mawio ambapo anatuhumiwa yeye pamoja na Mmiliki wa Gazeti la Mawio Simoni Mkina, Jabir Idrissa Mwandishi Mwandamizi wa Gazeti hilo na Ismail Mahboob Mmiliki wa kiwanda kampuni ya Uchapishaji cha Flint Print.

Lissu amefika Mahamakani Hapo Majira ya saa mbili na nusu asubuhi na akiwa anakabiliwa na kesi tatu kama mtuhumiwa na moja kama wakili.


ANGALIA VIDEO HII..

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items