Video: Yanga Wakizungumza na Wanahabari Kuhusu Simba Kupewa Pointi 3

KLABU ya Yanga imeilalamikia kamati ya masaa 72 iliyokuwa kuwa imeibaba kwa mbeleko klabu ya simba kwa kipa point tatu mezani kwenye mchezo wa Kagera na Simba 
yanga imesema kuwa Bodi ya ligi inatakiwa kuwajibishwa na kwamba dunia ya leo sio ya kutoa ushindi mezani.


Mpya zaidi Nzee zaidi