Ernesto Valverde kuwa kocha mpya wa Barcelona

Timu ya Barcelona imemtangaza rasmi Ernesto Valverde kuwa kocha wao mpya atakaye chukua nafasi ya Luis Enrique aliye achia ngazi. Kocha huyo ambaye aliwahi kuifundisha klabu Athletic Bilbao ya Hispania amesaini mkataba wa miaka miwili Barcelona.

Aliwahi pia kuwa mchezaji wa Barcelona kama mshambulia kati ya 1988 - 1990.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items