FULL VIDEO: Mapokezi ya Serengeti Boys Leo Jijini Dar

Timu ya Vijana wa Serengeti Boys wamerejea nchini Leo hii Majira ya Saa 8: 50 mchana wakitokea Nchini Gabon walikokuwa wakishiriki michuona kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kwa vijana wa Wenye umri chini ya miaka 17.

Vijana hao wakiongozwa na Kocha mkuu Bakari Shime wamepokelewa na Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na utamaduni Dkt Harisoni Mwakyembe katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Kiongozi wa msafara huo Ayoub Nyenzi alijikuta anamwaga machozi mbele ya Waziri Mwakyembe

TAZAMA FULL VIDEO HAPO CHINI