VIDEO: Kiongozi wa Msafara wa Serengeti Boyz amwaga chozi mbele ya Waziri


Kiongozi wa Msafara wa Timu ya Serengeti Boyz Ayoub Nyenzi amwaga machozi mbele ya Waziri wa Habari, Michezo, Sanaa na Utamaduni Dk Harrison Mwakyembe kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwl Julias Nyerere kutokana kutofuzu kwa timu hiyo Gaboni.

Njenzi amesema kuwa maesikitishwa na Matokeo hayo ya kusindwa na kuendelea na Mashindano huku nchini Gaboni.

Tazama Video hii kisha share na Subscribe Muungwana Tv.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items