https://monetag.com/?ref_id=TTIb Man United watambulisha uzi mpya kwaajili ya msimu ujao | Muungwana BLOG

Man United watambulisha uzi mpya kwaajili ya msimu ujao

 Manchester United mapemaa imeamua kuuweka hadharani uzi wake mpya wa msimu wa 2017/18.

Uzi huo unaonekana kurudisha kumbukumbu ya Man United kuhusiana na jezi za enzo hizoo wakati wa kipindi cha Alex Ferguson na wachezaji kama Ryan Giggs walikuwa wakichipukia.