VIDEOS: Kijo Bisimba afunguka kuhusu elimu za Ma-RC, Ma-DC, na Mawaziri

Mkurugenzi wa kituo cha Sheria na Haki za Binaadamu Dk Hellen Kijo Bisimba amesema kuwa wakuu wa Wilaya na wakuu wa Mikoa pamoja na mawaziri walistahili wawe na sifa ya kuwa na elimu stahiki kulingana na nafasi yao sio kujua kusoma na kuandika pekee.
akizungumza na Muungwana Blog Dk Hellen ameeleza kuwa katiba imeweka wazi kuwa sifa ya kuwa mbunge ujue kusoma na kuandika ambapo kwa mawaziri na wakuu wa Wilaya na Mikoa haikuonyesha sifa hiyo ambapo wanatakiwa kuwa na elimu ya kutosha zaidi.


Angalia videos hii kwa habari zaidi usisahu kushere na ku-Subscribe Muungwana Tv


Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items

Kilimo cha Bamia