VIWANJA VINAUZWA PANGANI KIBAHA MJINI

Halmashauri ya Mji Kibaha kwa kushirikiana na Space & Development Co. Ltd ya DSM, inawatangazia viwanja vilivyopimwa na kuunganishwa na huduma za umeme, maji ya bomba la Dawasco, barabara na kisima kirefu cha maji safi na salama vinapatikana Kibaha Mjini eneo la Pangani. Viwanja kwa ajili ya Makazi, Biashara, maeneo ya kuabudia, shule vinapatikana.

▶Bei ya viwanja ni Tsh. 9,000/ kwa mita ya mraba.
▶Hati miliki inatolewa mara tu unapokamilisha malipo.
▶Viwanja vipo karibu na eneo na la soko kuu la kibaha.
▶4km kutoka katikati ya mji wa kibaha na taasisi za serikali.
▶Vipo karibu na eneo la kituo kipya cha mabasi cha Kibaha.
▶ Barabara ya kufika kwenye viwanja inayotoka TAMCO kuelekea Baobab na mapinga inajengwa kwa kiwango cha lami.
▶Vipo karibu na barabara ya Morogoro inayotarajiwa kutanuliwa kuwa ya njia sita na vivuko vya juu (Flyovers)

MAWASILIANO 0655 005547 / 0765 592 626