Watu watano wapoteza maisha katika shambulizi Somalia

Watu watano wafariki katika shambulizi la kujitoa muhanga Bossaso nchini Somalia

Kundi la kigaidi la Daesh limejinasibu kuhusika na shambulizi hilo ambalo pia askari wawili wameripotiwaa kufariki.

Shambulizi hilo limetekelezwa dhidi ya kituo kidogo cha Polisi karibu na ufukwe wa Bossaso.

Gari lililokuwa na vilipuzi lililazimisha njia na kulipuka katika kituo hicho.

Taarifa ya shambulizi hilo imetolewa na afisa wa Polisi Mohammed Ali.
Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items