Breaking Newz: Rais Magufuli ateua mwingine kutoka Act - Wazalendo kuwa Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro

 Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya chama cha Act - Wazalendo, Bibi Anna Elisha Mghwira kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.

Mpya zaidi Nzee zaidi

Popular Items